Monday, August 27, 2012

TAMADUNIMUZIK IMEKULAISISHIA UPATIKANAJI WA TIKETI ZA KIINGILIO NDANI YA NEW MSASANI CLUB..TAREHE 31

KWA NDUGU ZETU MLIOKUBALI UWEPO
WENU KATIKA TUMBUIZO LETU, TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA
TUMEAMUA KUWAANDALIA TIKETI ZENU
ZA KABLA ILI KUDHIHIRISHA UTHAMANI
WENU KWETU. HIVYO BASI, THIBITISHA UWEPO WAKO
KATIKA TUMBUIZO LETU KWA KUNUNUA
TIKETI YAKO KABLA YA IJUMAA KUPITIA
HUDUMA YETU YA KUKULETEA HADI
MLANGONI. PIGA SIMU KATIKA NAMBA ZIFUATAZO
KUNUNUA TIKETI YAKO:
..
0655 70 73 15 ,,
0712 73 88 88,,
0712 68 49 93,,
0653 25 25 26,,
0716 39 99 84,,
0685 11 10 00,,
0657 29 42 35

1 comment:

  1. Show ilikua mzuka ikiwa na muendelezo itakua vyema zaidi harakati mpaka wataelewa!...alafu inabidi mtoe contact za kuzipata albumz...kuna zingine tulizinnua pale ila bado tunahitaji kununua zingine itakua vizuri mkitoa vijiwe vya kuzipata kazi

    ReplyDelete