Friday, September 21, 2012

TAMADUNI MUZIK TUNAJALI WEWE JE!

Tamadunimuzik imekusogeza karibu tena wewe msahabiki wa tamadunimuziki kwa kukuletea fomu za uwa na chama na kuwa wa kwanza kupata kila kinacho endelea kuhusu tamadunimuzik...kama unaitaji Fomu ya usajili Piga +255 714 884342 au tuma barua pepe kupitia tamadunimuzik@gmail.com......

Wednesday, September 19, 2012

WAKAZI WA MWANZA KAENI MKAO WA KULA ..TAMADUNIMUZIK NDANI YA MWANZA TAREHE 29/9

TAARIFA NZURI KUTOKA TAMADUNIMUZIK,LILE JESHI
LAKO LA HIP HOP HALISI TANZANIA,TAREHE 29/09/
2012 TUNAKUJA MWANZA KUSHAMBULIA JUKWAA
KWENYE UWANJA WA MEDANI CCM
KIRUMBA,MAKOMANDOO KAMA,NIKKI
MBISHI,SONGA,BALOZI WA GHETTO,UNO,STEREO,DUKE TACHEZ,AZMA,KAD GO,DEEY CLASS NA WAONGOZA
BATALIONI WENGINE KIBAO KUTOKA JESHI LA
TAMADUNI WATAKUWEPO SIKU HIYO!WAKAZI WA
MWANZA MSIOGOPE,NIMETUMIA LUGHA YA KIJESHI
KIDOGO HAPO!HAHAHAHAHAHAHAA!KARIBUNI
SANA!