Thursday, August 2, 2012

KABILA LA M-LAB NI KUDILI NA WATU WENYE UWEZO WA KIPAJI CHA MUZIKI ILA HAWAJAPATA NAFASI.

KAMA WEWE UNAUWEZO WA KIPAJI CHA KUFANYA MUZIKI, KARIBU USHIRIKI KIPENGELE CHA ONYESHA UWEZO WA KIPAJI CHAKO CHA MUZIKI, KITAKACHOFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 31|08|2012, IKIWA NI MOJA YA KIPENGELE KITAKACHOSINDIKIZA ULE UZINDUZI WA SANTURI TANO KWA PAMOJA KUTOKA M-LAB.

M-LAB SAMBAMBA NA TAMADUNIMUZIK TUNAHITAJI WASHINDI KUMI (10) KATIKA USHINDANI HUO.

FOMU ZA KUSHIRIKI ZINAPATIKANA KWA SHILINGI ELFU TANO (5000) TU.

NUNUA FOMU YAKO KUPITIA

0712 684993 - One (Kimara)

0713 900994 - Nash Emcee (Temeke)

0656 337757 - Songa (Tegeta)

0658 528787 - Ghetto Ambasador (Mikocheni)

0716 399984 - Den Texaz (Kijitonyama na Kigamboni)

0657 294235 - Mujwahuki (Makongo juu)

0716 440140- Kibabu (Kigogo)

0716 330970 - Mbanga (Kurasini)


2 comments: